Bima Ya Kilimo

Tunatoa sera nzuri za kilimo kwa wateja wetu

Bima ya kilimo hulinda wakulima na biashara za kilimo kutokana na hasara zinazosababishwa na hali mbaya ya hewa, wadudu, magonjwa na hatari nyingine zinazoathiri mazao, mifugo au shughuli za kilimo. Inatoa fidia ya kifedha kusaidia wakulima kudhibiti hatari, kuweka sawa hali ya kifedha, na kupona kutokana na matukio yasiyotabirika

Mahitaji kutoka kwa wakulima:

  1. Fomu ya pendekezo iliyojazwa
  2. Cheti cha afya ya mifugo kilichojazwa (kwa bima ya mifugo na jamii ya ndege)
  3. Angalau miaka mitatu (3) ya historia halisi ya uzalishaji
  4. Ripoti ya uthamini (kwa bima ya upandaji miti)
  5. Kuzingatia kanuni bora za kilimo
  6. Utunzaji mzuri wa kumbukumbu
Pata Maelezo Zaidi Hapa!

    Msingi wa malipo ya madai ya bima ya kilimo

    Madai ya bima ya kilimo yanatatuliwa kwa kuzingatia hali mahususi ya bima.

    Madai yote hukaguliwa, hufanyiwa tafiti, au kuthibitishwa,.Na makato au mambo mengine muhimu hufanywa kabla ya kufika mwisho.

    Affordable
    Cost
    Quality
    of Work

    LoremLoremLoremLoremLoremvLoremLoremLoremLoremLorem

    LoremLoremLoremLoremLoremvLoremLoremLoremLoremLorem

    LoremLoremLoremLoremLoremvLoremLoremLoremLoremLorem

    Je, unahitaji ushauri wa bima na huduma?