Linda Mali zako

Lengo letu ni kuhakikisha kuwa mahitaji ya mteja yanatimizwa kwa ufanisi na kwa viwango vya juu. Tunampatia mteja huduma bora za bima zitakazompa ulinzi wa uhakika wa mali pamoja na biashara, zikimsaidia kupunguza hasara itakayosababishwa na majanga yasiyotarajiwa.

Fahamu gharama za bima

Tunakusaidia kuchagua mpango wa bima unaokidhi mahitaji yako kwa gharama nafuu, gharama hizi hutegemea aina ya bima unayohitaji, thamani ya mali au biashara unayotaka kukatia bima.

Haraka, nafuu na kuaminika

Tunamhudumia mteja kwa haraka, kwa gharama nafuu na kwa viwango vya juu vya uaminifu. Tumejikita katika kuhakikisha mteja anapata huduma bora za bima.

"Tunajenga mustakabali mzuri kwa wateja wetu."

Kwa nini Ukate Bima?

Hakuna mtu anayeweza kutabiri siku zijazo, lakini tunaweza kujilinda.

Tuna Zaidi ya Miaka 30 ya Uzoefu katika Sekta ya Bima.
Huduma zetu

Tunakupa huduma zote za bima

Bima ya kusafiri

Ili kukulinda dhidi ya gharama ya matatizo yanayoweza kutokea unaposafiri.

Bima ya magari

Bima ya gari ni njia ya kujilinda endapo gari lako litaibiwa, kuibiwa vifaa au ajali.

Bima ya dhima

Hukulinda dhidi ya dhima yoyote ya kisheria inayotokana na uharibifu wa majeraha ya mwili, kifo.

Bima ya Ajali binafsi

Ni kwaajili ya kikundi cha wafanyikazi wanaofanya kazi katika mashirika.

Bima ya mali

Majengo, Vifaa na vilivyomo vimewekewa bima dhidi ya Moto, Mlipuko, Umeme, dhidi ya Athari za binadamu na hatari zingine za asili.

Bima ya baharini

Bila kujali ukubwa na asili ya biashara yako ya baharini, tunaweza kukupa sera za bima iliyoundwa maalum.

Bima ya wizi

Hulipa/hufidia mtu aliyewekewa bima dhidi ya upotevu wa pesa kwa njia za kulazimishwa, vurugu, za nje na zinazoonekana kama vile wizi, kizuizi cha silaha zikinatokea ndani ya muda wa bima yake.

Linganisha na upate bima yako kwa njia sahihi

Ulipo Tupo Kwa sababu tunajali!

Jipatie Mpango Bora wa Bima

Habari Mpya na Makala Kutoka kwenye blogu