Madai

Tunatoa sera bora ya bima kwa wateja.

Utatuzi wa madai kwa haraka na kwa busara ni mojawapo ya maeneo muhimu tunayozingatia.

Hivi ndivyo jinsi ya kuripoti dai kwetu.

Tafadhali kua na taarifa zote muhimu karibu na piga nambari yetu ya simu +255 22 212 0088 - 90
Au
Unaweza kujaza maelezo yote muhimu kwenye fomu iliyo hapa chini na ubofye wasilisha.